IJUE NGUVU YA MAOMBI YA IMANI PASIPO MASHAKA SEHEMU YA 2
Bwana yesu asifiwe, nakusalimu katika jina la Yesu aliye Bwana na mwokozi wa maisha yetu.
Karibu katika makala yetu hii ya AMKA UKUE KIROHO ambapo leo nitaenda kuweka mwendelezo wa somo letu la"IJUE NGUVU YA MAOMBI YA IMANI PASIPO MASHAKA SEHEMU YA 2.
Katika sehemu ya Kwanza tulijijufunza mambo mengi sana kuhusiana na somo hili, hivyo kama hukupata nafasi ya kulisoma nakusihi pitia kwa makini na usome ili uweze kupokea mafundisho hayo ya sehemu ya kwanza.
Katika maombi ipo nguvu ya pekee sana kwa kile unacho kiomba ambayo nguvu hiyo haitoki pengine bali yatoka katika imani tu, nguvu hii ukiiweka katika maombi ni lazima upate matokeo chanya yatakayo kufanikisha katika jambo uliombalo kwa Mungu.
Na ndiyo maana Yesu anatueleza wazi kabisa katika Luka 17;6 ya kwamba "...kama mungekuwa na imani kiasi cha chembe ya haradali, mnge uambia mkuyu huu ng'oka, ukapandwe baharini, nao ungewatii.'' Haradali huwa ni punje ndogo sana, wengi hupenda kuifananisha na mbegu ya mchicha ambayo ni ndogo sana, sasa Yesu anatuambia kama una imani ndogo kiasi hicho waweza ku uambia mti wa mkuyu ung'oke nao ukakutii. Mti wa mkuyu waweza kuwa ni tatizo au kitu chochote unacho taka kukiomba, unachotakiwa wewe ni kuwa na imani tu iliyo thabiti na ya uhakika, kumbuka kulingana na andiko hili linatufunulia kitu kingine ya kwamba si imani kubwa tu ndiyo inayo tenda miujiza bali hata ile iliyo ndogo ikitumiwa inaweza kuleta matunda mazuri.
Haijalishi una imani ndogo kiasi gani unacho takiwa ni kuwa na Uhakika wa kile unacho kiomba kwa Mungu aliye hai na kwa kufanya hivyo utajikuta unapokea majibu sawasawa na jinsi Mungu anavyo taka upokee. ooh Bwana Yesu asifiwee..
Usiombe tu kwa kuwa unaomba, bali omba kwa imani thabiti iletayo matokeo makubwa kiasi cha kuweza kuamisha milima yote inayo kuzunguka, na hapo ndipo watu wa dunia hii watakapo kuona na kukushangaa baada ya kuona matokeo ya maombi yako, huku wewe ukijibu ya kwa imani ya kwamba "....na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu imani yetu"( 1Yohana 5;4). ooh haleluya...
Ni imani pekee ndiyo itakayo kutenga na mishale ya mwovu shetani na hila zake zote, si kwamba tu shetani atakuogopa bali pia atakukimbia maana imani itakusogeza karibu na Mungu ambaye anasema katika neno lake ya kwamba tumkaribie yeye huku tukimpinga shetani ambye atatukimbia. Yakobo 5;7 " Basi mtiini Mungu, mpingeni shetani naye atawakimbia". Shetani hatakukimbia kwa sababu unaomba sana bali atakukimbia kwa sababu unaomba kwa imani iliyo thabiti mbele za Mungu, na huku ndiko kumkaribia Mungu kunako takiwa.
Kumbuka hata kutokuamini nako ni dhambi, si wengi wanalifahamu hili lakini usijaribu kwenda mbele za Mungu kwa kutokuamini. Maana ndivyo neno lisemavyo ya kwamba kutokuamini tu nako ni dhambi, sasa kama kutokuamini tu nako ni dhambi, na wewe unaomba utakaso wa Damu ya Yesu juu yako, na usiombe kwa imani wakati Biblia inatueleza kuwa usipo amini tu umekosa. Je utakuwa unaomba kwa Mungu yupi anaye sikiliza maombi ya utakaso wa dhambi juu ya kuombea dhambi?.
Kama unataka kuamini hili soma Ufunuo 21;8 " Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaju, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa liwakalo moto...". Katika ufunuo hapo tunatambua wazi madhara ya kuto kuamini, na kama unaomba kwa kutokuwa na imani na Mungu wako uwe na uhakika Mungu hata jibu maombi yako kwa maana maombi ya mtenda dhambi ni chukizo na kelele mbele za Mungu. ooh Haleluyaaaa... unatakiwa kuomba kwa imani iliyo thabiti ili na wewe uwe miongoni mwa wale wanao furahia maisha ya wokovu na raha yake.
Omba kwa imani ili ukapate kumshuhudia Mungu katika maisha yako ya kuwa anatenda. Tunapo soma katika Mathayo 13;53-54, tunaona Yesu akikataliwa katika nazareti, na huko hakutenda miujiza mingi kwa sababu hawa kumwamini yeye, Biblia inatueleza kuwa " Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutokuamini kwao" ( Mathayo 13:58). Kwa hiyo nazareti hawa kuishuhudi miujiza mikuu ya Yesu kwa sababu ya kuto kuamini kwao, kama usipo mwamini Mungu katika maombi yako uwe na uhakika na wewe hauta weza kuiona miujiza yake ambayo anakuwa amekusudia kukufanyia. ooh Bwana Yesu asifeweeee....
Imani ndiyo itakayo kuamisha utoka sehemu moja kwenda nyingine. Kumbuka kuwa ulimwengu wa Roho unatawaliwa na imani tu, maana ni sehemu ambayo haionekani kwa macho haya ya mwili bali inaonekana kwa macho ya rohoni ambako ndani yake ndiko kuna imani itendayo miujiza mikuu. ooh haleluyaaa, haleluyahh....
Imani ndiyo inaweka mipaka baina yako na Shetani, maana wale walio na imani ndio wanao irithi ahadi ya Mungu kupitia Ibrahimu baba wa imanini, na kama ukiweka imani utapokea vingi sana ambavyo Mungu amekuhaidi katika agano lake ya kuwa atakutimizia.
Mpendwa nazidi kukusisiti kuishi maisha ya Imani yaliyo jawa utukufu wa Mungu ambao tunaupata kupitia Damu ya Yesu iliyo mwagika pale msalabani karvari kwa ajili ya makosa na uovu wetu, hivyo unatakiwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu siku zote za maisha yako pasipo kurudi nyuma, Kumbuka unapo rudi nyuma unampatia shetaini nafasi ya kukutawala na kukumiliki huku akiyazima maombi yako yasijibiwe na Mungu,
Mungu wetu ni mwaminifu sana pale utakapo muomba kwa imani hua ansikia na kujibu, amesema sikio laze sio zito wala asisikie maombi yetu, hivyo tunavyo muomba hakika yake ni kwamba atatujibu sawasawa na mapenzi yake katika Kristo yesu.
Mpendwa njia ya pekee ya kuishi maisha matakatifu ni Kuokoka na kumkabidhi Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako maana kwa kufanya hivi utapokea nguvu ya Roho Mtakatifu ambayo itakusaidaia siku zote za maisha yako katika kuishi maisha matakatifu na kukupa msukumo wa kuomba kwa imani. Kama bado hauja mpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako nakuomba ufuatane na mi katika sala hii na uombe kwa imani na kwa kumaanisha.

Sema "Eeh Bwana Yesu, ninakuja mbele yeko, mimi ni mwenye dhambi, nimekutenda dhambi kupitia matendo yangu, kusema kwangu, kuwaza kwangu na kwa dhambi za kujua na za kutokujua, Eeh Bwana Yesu ninaomba unisamehe, nisafishe kwa Damu yako ya thamani, nifute jina langu kwenye kitabu cha hukumu na uniandike jina langu kwenye kitabua cha Uzima wa milele, Eeh Bwana Yesu nakuja mbele zako kuanzia siku ya leo nifinyange moyo wangu, nafsi yangu na roho yangu kama upendavyo wewe, maisha yangu yote nakukabidhi wewe uyaongoze kwa Roho wako Mtakatifu, naomba na kuamini kupitia Jina la Yesu kristo aliye Bwana na mwokozi wa maisha yangu. Amina.
Mpendwa kama umesali sala hii fupi kwa kumaanisha tayari umeupokea wokovu, unatakiwa utafute kanisa lililo karibu yako lenye kumuabudu Mungu wa kweli na uungane nao kwa ajili ya kukua kiroho.

vile nakuomba ujitahidi kuepuka maisha ya Dhambi, maana ni dhambi pekee ndiyo itakayo kutenga na uso wa Mungu. Nakutakia maisha mema ya wokovu na Mungu akubariki,
Wako mpendwa katika Kristo,
Daniel Mbugu.
Kwa mwendelezo wa mafundisho zaidi ya neno la Mungu tembelea AMKA UKUE KIRIHO. www.amkaukuekiroho1.blogspot. Na kwa ushauri kuhusiana na maisha ya wokovu tuma ujumbe katika email yangu. www.mbugudaniel@gmail.com. Au wasiliana nami kwa kutuma ujumbe kwa njia ya sms au whatsApp kwa 0758505174/0655505173. Mungu akubariki.

Somo hili litaendelea kataika sehemu ya tatu (3), karbu sana.
Comments
Post a Comment