Skip to main content

Posts

Featured

IJUE NGUVU YA MAOMBI YA IMANI PASIPO MASHAKA SEHEMU YA 3

Bwana yesu asifiwe, namtukuza Mungu kwa ajili yako kwa siku hii ambayo amekupatia kibahari cha kuendelea kusoma mafundisho yake aliyo yaweka moyoni mwangu kwa ajili yako. Najua ni neema tu mpaka kufikia hatua hii ya kutembelea  ukurasa huu wenye kuleta utukufu kwa Mungu. Nakukaribisha katika makala yetu hii ya  AMKA UKUE KIROHO   ambapo leo tutaendelea na somo letu la"IJUE NGUVU YA MAOMBI YA IMANI PASIPO MASHAKA  SEHEMU YA 3. Karibu na Mungu awe pamoja na wewe. Katika sehemu ya kwanza na ya pili tuliangalia na kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo maombi kwa njia ya imani, sitoweza kurudia tena bali ninakusihi wewe ambaye haukupata muda wa kusoma, waweza kurudia na kusoma ili uwe na mwendelezo mzuri. Imani katika maombi ndiyo inayo tengeneza mipaka katika yako na shetani na kukufanya ung'are katika ulimwengu wa Roho. Kumbuka Mungu anapo taka kukujibu ni lazima anangalia imani yako katika kile unacho kiombea na kupitia imani hiyo huweza kuleta majibu ya maombi ya...

Latest posts

NGUVU YA MTAZAMO KATIKA MAGUMU UNAYO YAPITIA

IJUE FAIDA YA KUISHI NDANI YA KRISTO.

IJUE NGUVU YA DAMU YA YESU SEHEMU YA PILI [2]

IJUE NGUVU YA DAMU YA YESU SEHEMU YA KWANZA 1

UTATU MTAKATIFU WA MUNGU (Holy Trinity) 1